Kyerwa DC – Form Two Regional Examination Results, April 2025
USAJILI NA MAHUDHURIO Jumla ya watahiniwa 4,600 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Pili wakiwemo Wasichana 2,410 (52%) na Wavulana 2,188 (48%). Kati ya Watahiniwa 4,600 waliofanya mtihani walikuwa 4,508 wakiwemo wasichana 2,357 (52%) na Wavulana 2,151 (48%). MATOKEO Jumla ya watahiniwa wa Shule 3,588 kati ya 4,600 wenye matokeo ambao ni sawa na asilimia