
Kyerwa DC – Form Two Regional Examination Results, April 2025
USAJILI NA MAHUDHURIO
Jumla ya watahiniwa 4,600 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Pili wakiwemo Wasichana 2,410 (52%) na Wavulana 2,188 (48%). Kati ya Watahiniwa 4,600 waliofanya mtihani walikuwa 4,508 wakiwemo wasichana 2,357 (52%) na Wavulana 2,151 (48%).
MATOKEO
Jumla ya watahiniwa wa Shule 3,588 kati ya 4,600 wenye matokeo ambao ni sawa na asilimia 78 wamefaulu ambapo wamepata Madaraja ya I, II, III na IV.
Kati ya watahiniwa 3,588 waliofaulu, Wasichana ni 1,836 sawa na asilimia 51.17 ya Wasichana wote wenye matokeo na Wavulana ni 1,752 sawa na asilimia 43.83 ya Wavulana wote wenye matokeo.
BERNARD | DOWNLOAD PDF |
BUGARA MILLENNIUM | DOWNLOAD PDF |
BUGARA | DOWNLOAD PDF |
BUGOMORA | DOWNLOAD PDF |
BUSINDE | DOWNLOAD PDF |
CHANYANGABWA | DOWNLOAD PDF |
CHITWE | DOWNLOAD PDF |
IBANDA | DOWNLOAD PDF |
ISINGIRO | DOWNLOAD PDF |
KAISHO | DOWNLOAD PDF |
KAKANJA | DOWNLOAD PDF |
KAMULI | DOWNLOAD PDF |
KIDO ISLAMIC | DOWNLOAD PDF |
KIMULI | DOWNLOAD PDF |
KITWECHENKURA | DOWNLOAD PDF |
KYERWA BRIGHT STAR | DOWNLOAD PDF |
KYERWA MODERN | DOWNLOAD PDF |
KYERWA | DOWNLOAD PDF |
MABIRA | DOWNLOAD PDF |
MAKAZI DAY | DOWNLOAD PDF |
MARIA | DOWNLOAD PDF |
MUKIRE | DOWNLOAD PDF |
MURONGO | DOWNLOAD PDF |
NAKAKE | DOWNLOAD PDF |
NDAGARA | DOWNLOAD PDF |
NKWENDA | DOWNLOAD PDF |
NTARE | DOWNLOAD PDF |
NYABISHENGE | DOWNLOAD PDF |
NYAMILIMA | DOWNLOAD PDF |
NYAMIYAGA | DOWNLOAD PDF |
NYARUTUNTU DREAM | DOWNLOAD PDF |
NYARUZUMBURA | DOWNLOAD PDF |
RUKURAIJO | DOWNLOAD PDF |
RUTUNGURU | DOWNLOAD PDF |
RWABWERE | DOWNLOAD PDF |
SONGAMBELE | DOWNLOAD PDF |
UMOJA LEGACY | DOWNLOAD PDF |
WESTERN | DOWNLOAD PDF |
SCHOOL RANKING DOWNLOAD PDF